Hafla ya kuwazawadi vyeti wanachama wa chama cha kiswahili

Hafla ya kuwazawadi vyeti wanachama wa chama cha Kiswahili cha Chuo Kikuu Kishirikishi cha Turkana (CHAKITU) walioshiriki katika kongamano la CHAWAKAMA katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Jaramogi Oginga Odinga, mnamo tarehe 10-11 Machi, 2022. Mkuu wa chuo kikuu cha kishirikishi cha Turkana, Prof. Chemining’wa aliwakabidhi wanafunzi vyeti.